Bornventure
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 529
- 523
Nipo Mbeya , wapi napata laptop used ,ambazo bado utunzaji charge uko Safi ,mwonekano mzuri na storage angalau 500 gb kwenda juu.
Kweli kabisa aise, nikipata kwa laki 3 3 hivi itakua poa au mtu akijitokeza tutazungumza depending na ubora wa machineungesema bajeti yako nina uhakika hautaki kitu used bali bei ndio inapelekea utake used.., kwahio huenda kuna mtu anayo mpya lakini kutokana na ugumu wa maisha wanauza....