Laptop problem

Sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
295
Wadau laptop yangu dell,nikiiswitch on inashindwa kuboot na inaonesha message "disk error press alt ctr dell to restart"kila nikipress hizi keys inarestart na kudisplay the same message nifanyeje wakubwa?natanguliza shukrani,natumia window xp
 
hilo tatizo niliwahi kulipata hata mimi kwenye laptop yangu.mi nilichofanya ni nilifomati 2 laptop yangu maisha yakaenda kama kawaida
 
Thanx mkuu,ngoja nijaribu hii ki2
 
pia ni dalili mbaya kwa maisha ya hard disk yako...jitahidi kuwa na backup ya vitu vyako muhimu!
 
Nimejaribu kuformat inashindikana,maana hata kuboot inagoma!
 
I9ngia kwenye BIOS Set up kishacheki kama inasomeka fresh na specification zake ziko pouwa. Kama ziko puwa cheki filesystem ya hiyo hard disk pia check sector for error na kuzifiksi km zitakuwepo(yote hayo unafanya ikiwa km external sawa bosi, ila usiformat kwanza mpaka tuone km njia zote zimeshindikana. ukuishindwa pia download disk utility iakusaidia au hiren's ukishindwa nitafute nikusolvie, sawa mkuu?
 
 
hiyo problem ninaweza kufix kama unaweza we nipigie 0718164448
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…