Laptop nzuri za biashara

Laptop nzuri za biashara

jjokocha

Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
35
Reaction score
3
Wakuu nauliza laptop used ambazo keyboard yake ni Germany or French keybord zinafaa kwa matumizi ya kibongo vingine vyote ni sawa kama ram .hdd. cpu mpka 2.8Ghz
 
laptop za biashara ni thinkpad za lenovo sema bei zake ujipange zinaanzia dola 500 kupanda.

kuhusu keyboard kila laptop inaweza kuwa na hio keyboard unayotaka, thinkpad zinazouzwa ufaransa na ujerumani zitakuwa na keyboard za huko kwao.
 
Mkuu Shukrani lakini sana nafikiri nimekufamu sana . Jee ikiwa mimi nina njia ya kupata laptop zenye keyboard kama hizo na kuzileta Tanzania je itakuwa na usumbufu kwenye mauzo kwa watumiaji kwani tatizo ni keyboard tuu naomba msaada kwa wenye uzoefu hilo ndio swali langu
 
mkuu sijui huko wanatumia keyboard gani ila hapa TZ tunatumia qwerty keyboard, ukileta tofauti na hio huwenda watu wasizipende
 
Sawa mkuu nimejaribu kugoogle nimeona tofauti ni ndogo sana kwenye Germay keyboard z na y tuu vingine yote ni sawa wacha niangalie shukrani kwa kunielimisha
 
mkuu hii vipi nayo infaa na inasimama ngapi kwa bongo
Lenovo ThinkPad X220 Intel Core i5 2520m 2500MHz 4096MB 320GB 12,5" WLAN Ja Win 7 Professional
 
Lenovo ThinkPad X200 Intel Core 2 Duo P8400 2260Mhz 2048MB 160GB 12,1" WLAN Ja Win Vista Business CO
 
Lenovo ThinkPad T420 Intel Core i5 2520m 2500MHz 4096MB 320GB 14" DVD-RW WLAN Ja Win 7 Professional
 
hii nayo vip?
Dell Latitude E6410 Intel Core i5 M540 2533MHz 4096MB 160GB 14,1" DVD-RW WLAN Ja Win 7 Professional
 
Dell Latitude E6420 Intel Core i5 2520m 2500MHz 4096MB 250GB 14" DVD WLAN Ja Win 7 Professional UK A
 
mkuu naomba nr yako ya simu e mail yangu ni (mmanyambo@yahoo.com) ili niweze kupata msaada wa maelekezo tz
 
hio ya core 2 duo na i5 m540 achana nazo ni za kizamani sana

hio yenye i5 2520m zote dell na thinkpad ni nzuri kwenye mambo ya kawaidA ila software na games za kisasa zinazotumia gpu sana hazitaperform vizuri, ila kwa matumizi ya kawaida inafaa. hio x220 ni kama hio 420 sema yenyewe imetngenezwa kwa umbo dogo kama hupendi laptop kubwa.

kama ni kuchagua mi ningetafuta thinkpad x220 au 420 sababu ni imara zaidi kushinda dell. hio x220 ukiinunulia battery ya cell 9 ukaunganisha na battery yake unapata laptop inayokaa na chaji zaidi ya masaa 20.

ThinkPad-X220-Battery-Life.jpg
 
Shukrani sana
 
Sasa mkuu kati ya hizo mbili yaani T420 na x220 ipi ni bora zaidi
 
niemeona nyingine nayo hio vipi?mkuu
Lenovo ThinkPad L520 Intel Core i3 2350M 2300MHz 4096MB 500GB 15,6" DVD-RW WLAN Ja Win 7 Professiona
 
mkuu namba za mwanzo za thinkpad humaanisha ukubwa
520 inamaanisha ni inch 15 kioo chake
420 inamaanisha ni inch 14
220 inamaanisha ni inch 12

so hapo ni ukubwa tu wa kioo. ila hio 520 ina i3 za juu zina i5 so angalia mwenyewe unapenda ukubwa gan
 
Mkuu Shukrani sana nimenunu tayari tatu Zile lapto ulionielekeza nipo kwanza napata raha nazo mbili ni x220 na moja ni x230 vidogo lakini vina speed sana kwani nilinunua kwa kujaribu kuna kitu nafanya research kwanza Shukrani sana.Ila kuna kitu kimoja wakati nanunua kulikuwa na maelekezo kuhusu battery cell 9 nielekeze kwa kirefu ili siku nyingine nijue vizuri lakini mpaka hapa ni tosha kwanza.
 
kuongeza speed zaidi zinunulie ssd toa hizo HDD.

kuhusu 9cell battery ni battery tu ya kawaida unatoa hio iliokuja nayo unaeka hio ya 9 cell,
500_500_productGfx_d352a9010af973aa5fa0a075c30787ee.jpg

zipo online cheki ebay na amazon
 
Sawa mkuu nitaangalia zaidi
 
Back
Top Bottom