mkuu, tumetoka kujadili hili jambo hapa --> ninunue laptop ipi
soma ile thread, haswa post yangu. kama unataka kununua laptop, ingia madukani, cheki laptop za bei unayosema, then ziweke hapa zifanyiwe comparison ili ujue ni ipi bora, ila ujue hamna brand nzuri kuzidi zingine leh
Hii hp iko poa ila tatzo lake kubwa liko kwenye zile button mbili za mouse baada ya muda zinazingua unakuta moja imebonye zaidi ya nyingine na zinaanza kuwa ngumu