Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,702
Mwenyewe ameshauza
Utanunua au unatuchosha tu we kijana??Weka picha
Laptop yangu ishachoka sas anataka mzigo mpya kwa ajiri ya kazi zanguUtanunua au unatuchosha tu we kijana??
Vishu mbona huku kwenu joto hiviUtanunua au unatuchosha tu we kijana??
Kaka naomba mchongoLaptop yangu ishachoka sas anataka mzigo mpya kwa ajiri ya kazi zangu
Unaweza kitu gani mkuuKaka naomba mchongo
Gaming PC haina jina wala specifications??View attachment 3411057View attachment 3411058Chukua gaming PC nina shida ya hela, ram 16GB SSD 500GB nipe 400k tu 0689666047
Wapi?Vishu mbona huku kwenu joto hivi
Niuzie hiyo yako iliyochoka.Laptop yangu ishachoka sas anataka mzigo mpya kwa ajiri ya kazi zangu
Loh imenipita hivi hiviSold
Property of UBA BankGaming PC haina jina wala specifications??