Computer4Sale Laptop na Tablet mpyaa kwa bei pouwa: 30% discount

Acha kukurupuka!!
Me sirembi matangazo ili kuvutia watu, huwa cpigi mayowe mkuu...sababu naamin wenye uhitaji wa bidhaa bora wataona wenyewe!

By the way wewe sio mteja wala mshauri wa wafanya biashara so pita kushoto hii haikuhusu!!!
Ndg, mimi ni mfanya biashara mwenzio, nina matangazo zaidi ya 10 tofauti, sijawahi kumjibu mteja vibaya, zaidi huwa nawashukuru. sababu ya kwanza kuwashukuru hususani wale wanao kebehi au kutukana, huwa wana update tangazo langu pasipo wao kujua.

Hawa watu wapo, lakini inapo fikia hatua unaitangazia biashara jamii usiyo kujua inakuangalia kwa jicho la3, lakini pia huwa naamini waleta mizaha au watukanaji wa leo ndiyo wateja wa kesho, usipoteze muda kujibizana na mtu tena usiye mjua, lakini pia costumer care inabidi ionekane katika matangazo yetu. vinginevyo pasipo kujua tutajikuta tuna zitangaza tabia zetu badala ya kutangaza tulicho kikusudia. Nakutakia biashara njema
 
mkuu Vieloon shusha jazba. jaribu kuielewa hadhira ya JF na kuuthamini mchango wake. utajitaabisha kwa presha bure kwa jukwaa hili ikishazoeleka hata mleta mzaha ni mteja. kiukweli ni vigumu kumuelewa aliye 'serious' na mwenye kejeli/mizaha tu bora adondoshee 'coment' yake. lakini upande mwingine changamoto na kukosolewa ni nzuri; humsaidia mkosolewaji kukaa kwenye mstari ulionyooka. kama ukitaka kusadiki maneno yangu, pitia nyuzi kadhaa za jukwaa hili, mdau anabandika tangazo la kuuza gari mf. 7.5m kisha post mbili au tatu zinakosoa bei kubwa, kwa bei hiyo kubali kuzeeka nalo, weka picha, mara show room hiyo gari naipata kwa 4m na chenji inabaki. kwaio mkuu jifunze kushuka uendane nasi. hili ni jukwaa huru kila mtu yuko huru kufungua uelewa wake kupitia keyboard/pad yake. hatahivyo bidhaa zako zinaonekana ni nzuri kwa picha. utauza kwa uhakika kabisa kwa wanaohitaji. japo naunga mkono suala la kutuwekea bei ya awali na hiyo mpya baada ya punguzo la 30%. kikubwa UAMINIFU TU mkuu. kila la kheri katika biashara yako.
Nimewaelewa Wakuu, acha niwe nabak mpole maana...... asanteni sana kwa ushauri!
Ndg, mimi ni mfanya biashara mwenzio, nina matangazo zaidi ya 10 tofauti, sijawahi kumjibu mteja vibaya, zaidi huwa nawashukuru. sababu ya kwanza kuwashukuru hususani wale wanao kebehi au kutukana, huwa wana update tangazo langu pasipo wao kujua.

Hawa watu wapo, lakini inapo fikia hatua unaitangazia biashara jamii usiyo kujua inakuangalia kwa jicho la3, lakini pia huwa naamini waleta mizaha au watukanaji wa leo ndiyo wateja wa kesho, usipoteze muda kujibizana na mtu tena usiye mjua, lakini pia costumer care inabidi ionekane katika matangazo yetu. vinginevyo pasipo kujua tutajikuta tuna zitangaza tabia zetu badala ya kutangaza tulicho kikusudia. Nakutakia biashara njema
 
Hahaahaaa! pole ndugu usipaniki nilikuwa nataka nichukue namba yako nikupigie nipate kununua moja ya bidhaa zako , nimekutana na hii reply.

Ila haina shida hata kama si mnunuzi ama mshauri nitakupigia nije kununua kompyuta.
Hata usiwaze boss haya mengine ni ya JF tu! We karibu anytime hata kuja kuangalia tu bidhaa....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom