Laptop msaada.

Laptop msaada.

MansaMusa

Senior Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
103
Reaction score
13
Jamani nina Laptop Hp Compaq nc 8230, mara ya kwanza ilikuwa na tatizo la display inawaka alafu inazima kama inapiga indicator, but nilipopeleka kwa fundi alipoifungua akatoa battery akakonect na adaptor, kuna AC iliyopo karibu na Processor ikawa inatoa moshi na cheche. Ushauri: Vipi yaweza pona mana ye hana spea ya hyo AC ama niuze kama spea. Ushauri tafadhari, nipo Iringa.
 
Sijaelewa bado kama ulinunua dukan au wapi..
kama ulinunua dukan rudisha..
.
usimuuzie mtu k2 kibovu kwa kujal maslah yako ni DHAMBI
 
Sijaelewa bado kama ulinunua dukan au wapi..
kama ulinunua dukan rudisha..
.
usimuuzie mtu k2 kibovu kwa kujal maslah yako ni DHAMBI

Hujanielewa kaka natafuta fundi kama itatengenezeka na pia nimesema ikishindikana nauza kama spea sio nambambika mtu mkuu, umeninakiri vibaya but thanx.
 
Back
Top Bottom