Laptop Motherboard Repair

Laptop Motherboard Repair

Kafiti

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
538
Reaction score
220
Habari humu ndani,
Nina tatizo la laptop hp compaq presario iliingia maji muda mrefu kidogo, nikaifungua na kuisafisha na vifaa vingi vinafanya kazi nimejaribisha kwenye laptop nyingine, Ram, Display, Processor, Hdd, Keyboard, Fan nk..
Lakini tatizo lake ukiiwasha inawaka powerbutton lights , keyboard wifi light na feni kama sekunde 3 tu hivi then inazima, display haionyeshi chochote, taa ya powerin inaendelea kuwaka tu kama nikiwa nimeichomeka kwenye charge....

Msaada Hapo tatizo laweza kuwa nini na kuna fundi wa hiyo tatizo,,,,
Nilijaribu kuhamisha hiyo motherboard kwenye laptop nyingine nikakuta bado tatizo ni hilohilo..

(255) 754 458 218 (Dar es Salaam)
 
laptop hio hio ukitumia monitor ya nje je? ikikubali mobo nzima ikikataa display ya laptop nzima.
 
Display kama display niliihamisha kwenye PC nyingine ikafanya kazi,ila nitajaribu pia hiyo ya kutumia Monitor nyingine
 
kama betri ilikuwa na chaji chaji hapo motherboard itakuwa imekufa
 
Back
Top Bottom