Laptop ipi Bora?

Laptop ipi Bora?

tayasaritor

Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
20
Reaction score
5
kuna Laptop 2

Samsung NP 300 EX5
4GB RAM
120 GB HDD
AMD 1.5 GHz
15 inch

HP 6460B
2GB RAM
320 HDD
Core i5
15 inch

HP iko juu ya Samsung kwa 50,000.

Zote ni Used,ila Samsung imetumika zaidi.

Ipi ni Bora? Kwa Kuzingatia Brand au Specs, Msaada pls
 
hiyo HP i5 ndio processor yake hiyo au ni Refurbished? angalia isiwe ina OverHeat. ila hiyo samsung yenye AMD 1.5GHz itakuwa na perfomance mbaya
 
Hp ni 2.5 Ghz. Sijui kama ni refurbished, maana iko kwa mtu alikua anaitumia. Nina uwezo wa kuichukua na kukaa nayo kwa muda, na kuichunguza, Samsung ina Windows 8, Rating inasoma 4.3
 
Bila kutaja full name ya processor itakuwa ngumu kupata ushauri, nenda my computer then right click halafu propeeties angalia full name ya processor
 
Hp ni 2.5 Ghz. Sijui kama ni refurbished, maana iko kwa mtu alikua anaitumia. Nina uwezo wa kuichukua na kukaa nayo kwa muda, na kuichunguza, Samsung ina Windows 8, Rating inasoma 4.3

wewe fanya kuichukua ukae nayo na kuitumia kwa siku mbili hivi. uone ufanisi wake. hiyo hp ina windows gani?
 
kuna Laptop 2

Samsung NP 300 EX5
4GB RAM
120 GB HDD
AMD 1.5 GHz
15 inch

HP 6460B
2GB RAM
320 HDD
Core i5
15 inch

HP iko juu ya Samsung kwa 50,000.

Zote ni Used,ila Samsung imetumika zaidi.

Ipi ni Bora? Kwa Kuzingatia Brand au Specs, Msaada pls

Kamuulize Magufuli atakupa ushauri mzuri
 
nimejifunza ukiwa member wa JF lazima uwe mvumilivu kwa majibu Mazuri, makali, upuuzi,matusi nk. otherwise utakuwa mtu wa kutukana na kutukanwa kila siku
 
Kwa ushauri wangu HP ni bora zaidi. Kama ni duo Core maana yake ina Processor 2 kila moja ya 1.5 GHz
Memory tu ni ndogo 2 GB, lakini kama Processor ni ndogo memory kubwa itakuiongezea matatizo tu.
Chukua HP, upgrade Memory kufikia 4 GB
 
Back
Top Bottom