Laptop inauzwa kwa TSh 200,000/=

Laptop inauzwa kwa TSh 200,000/=

Accer e-machine, E-525 model inauzwa,

Specs:

* Processor 2.2 GHz
* Ram 2GB
* DVD WR
* web camera
* 15 inches display
* 250 GB Hard disk drive.
* In mint condition.
* OS : runs Windows 7, XP and Ubuntu 10.04 . (You can choose which one to boot from at start).
* Location : Dar-es-salaam

##########
Notation
##########

* Battery yake inakaa na chaji kwa dakika 5 kwa wastani, Apart na tatizo hili haina tatizo jingine lolote lile la kimfumo ama kifaa. Unakaribishwa kuiona/Kuikagua na baadae kuilipia ukiridhika na hii bidhaa.

* Bei yake ni TSh 200k pekee, Negotiable.!

* Sababu ya kuiuza ni kuwa, Nimepata Laptop nyingine.

If you are interested PM (private message) me your number and i will call you instantly. Ama waweza jibu katika uzi huu huu kwa maelezo/ufafanuzi zaidi wa hii bidhaa.

* Maongezi na punguzo katika bidhaa hii yapo.

Picha za bidhaa ni kama inavyoonekana hapo chini.

View attachment 196927

View attachment 196930

View attachment 196925

View attachment 196931

View attachment 196928
View attachment 196929

Karibuni nyote.

uko wapi kaka?iko 150000.toa mawasiliano yako
 
Wakuu bussines ishafanyika. Shukrani kwa nyote mlioonesha nia. Kuna mdau humuhumu ameichukua.

safi xyz123 nimependa namna ulivyoweka tangazo lako safi sana.
Wengi humu JF wanashindwa kuuza vitu vyao kwa sababu ya namna wanavyoweka tangazao. mtu anazunguka zunguka we mpaka unachoka. wewe umetoa specification za hiyo laptop mpaka na tatizo la betri. angekuwa mwingine angesema inkaa masaa 7. Kwa tangazo kama hili bidhaa haiwezi kukaa siku 3
 
Last edited by a moderator:

Another vote kwa mshkaji,kweli amepost vizuri sana,ndio maana hata kaizua chini ya masaa 24.
 
safi xyz123 nimependa namna ulivyoweka tangazo lako safi sana.
Wengi humu JF wanashindwa kuuza vitu vyao kwa sababu ya namna wanavyoweka tangazao. mtu anazunguka zunguka we mpaka unachoka. wewe umetoa specification za hiyo laptop mpaka na tatizo la betri. angekuwa mwingine angesema inkaa masaa 7. Kwa tangazo kama hili bidhaa haiwezi kukaa siku 3

Asante ndugu.
 
Last edited by a moderator:
Accer e-machine, E-525 model inauzwa,Specs:* Processor 2.2 GHz* Ram 2GB* DVD WR* web camera* 15 inches display* 250 GB Hard disk drive.* In mint condition.* OS : runs Windows 7, XP and Ubuntu 10.04 . (You can choose which one to boot from at start).* Location : Dar-es-salaam########## Notation##########* Battery yake inakaa na chaji kwa dakika 5 kwa wastani, Apart na tatizo hili haina tatizo jingine lolote lile la kimfumo ama kifaa. Unakaribishwa kuiona/Kuikagua na baadae kuilipia ukiridhika na hii bidhaa.* Bei yake ni TSh 200k pekee, Negotiable.!* Sababu ya kuiuza ni kuwa, Nimepata Laptop nyingine.If you are interested PM (private message) me your number and i will call you instantly. Ama waweza jibu katika uzi huu huu kwa maelezo/ufafanuzi zaidi wa hii bidhaa.* Maongezi na punguzo katika bidhaa hii yapo. Picha za bidhaa ni kama inavyoonekana hapo chini.View attachment 196927View attachment 196930View attachment 196925View attachment 196931View attachment 196928View attachment 196929Karibuni nyote.
nipe number ako au npigie 0713774746
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom