Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,120
- 4,790
Accer e-machine, E-525 model inauzwa,
Specs:
* Processor 2.2 GHz
* Ram 2GB
* DVD WR
* web camera
* 15 inches display
* 250 GB Hard disk drive.
* In mint condition.
* OS : runs Windows 7, XP and Ubuntu 10.04 . (You can choose which one to boot from at start).
* Location : Dar-es-salaam
##########
Notation
##########
* Battery yake inakaa na chaji kwa dakika 5 kwa wastani, Apart na tatizo hili haina tatizo jingine lolote lile la kimfumo ama kifaa. Unakaribishwa kuiona/Kuikagua na baadae kuilipia ukiridhika na hii bidhaa.
* Bei yake ni TSh 200k pekee, Negotiable.!
* Sababu ya kuiuza ni kuwa, Nimepata Laptop nyingine.
If you are interested PM (private message) me your number and i will call you instantly. Ama waweza jibu katika uzi huu huu kwa maelezo/ufafanuzi zaidi wa hii bidhaa.
* Maongezi na punguzo katika bidhaa hii yapo.
Picha za bidhaa ni kama inavyoonekana hapo chini.
View attachment 196927

View attachment 196925

Karibuni nyote.