JINSI Y A KUFANYA
- Install windows 7 &, kisha hakikisha drivers zote zimekewa installed.
- KIsha tafuta software ili ufanye backup ya drivers zote za hiyo windows 7 uliyoweka, - Tumia Driver pack solution lite
- Ondoa windows 7 na weka windows 8 au 8.1 katika hiyo PC
- Tumia ile back up ya drivers za windows 7, kufanya installation ya drivers katika windows windows 8
nb: Kama utatumia windows 7
x32bit kufanya
drivers backup, Basi windows 8 utakayoweka
nayo iwe x32bit
Hapo utakuwa umetatua hilo tatizo la Resolution katika PC yako. Hii ndio njia niliyoitumia hivi karibuni kwa LENOVO B590, n NA DELL INSPIRON 15 3000 series. Maana driver pack zote nilizonazo zilishidwa kuziweka drivers za graphic hata baada ya kutumia manual installation, na sikuwa mahala penye internet kwamba ningefanya download