Chief msaada kwenye tuta, nakuunganishia hapa hapa nlipokukuta, nimeshindwa kuattach picha ifuatayo inbobo....
Kun hii error, kama unaeza nisaidia wazo inakuaje..
Chief msaada kwenye tuta, nakuunganishia hapa hapa nlipokukuta, nimeshindwa kuattach picha ifuatayo inbobo....
Kun hii error, kama unaeza nisaidia wazo inakuaje..
mkuu jaribu kuhamisha hio hdd kwenda machine nyengine au chukua hdd nyengine test kwako, sina uhakika tatizo ni nini hapo ila inawezekana hdd ikawa malfunction, nimeona solution nyingi online ni kufix mbr na pc nyengine