Mcheck huyu jamaaNahitaji laptop, kwa matumizi ya kijana wangu kwa ajili ya masomo.
Nipe sifa za pc yako na bei.
Asante!
GoodHP probook
128 SSD
8 GB RAM
Nakupa pamoja na charger, wireless mouse.
Inakaa na chaji sio chini ya masaa 4.
Latest windows 11
Kama ni wa kusoma tayari laptop ina installed programmes kama Adobe, Microsoft office, Microsoft Edge, WPS etc.
Bei 380,000.
Napatikana Dar.
Mwanza ni rahis sana kupata used Laptop.Nipo Mwanza ila kama ipo dar na tukielewana bei naagiza mtu aje kuiona
Nahitaji laptop, kwa matumizi ya kijana wangu kwa ajili ya masomo.
Nipe sifa za pc yako na bei.
Asante!