ukisema haidisplay kitu chochote unakosea wakati hapo inaonyesha maandishi (inaitwa blue screen of death) bila kuambatanisha na picha hapo usingeeleweka, hilo tatizo ni dogo sana kwa anaetambua, tafuta setup disk ya window u boot nayo (hasa xp au 7) uingie kwenye command prompt (dos) change alafu type "chkdsk /r c:\" alafu choose yes ili ianze ku fix errors ktk disk. au kama uko na original disk yake fanya repair ila uwe mwangalifu maana ukivuruga partition tu data zote zitaondoka na recovery ya data ni issue kubwa zaidi ya hiyo.
Hapana mkuu hayo maandishi yalitokea kabla haija goma kuwaka na yalikuwa yakinitokea mara kwa mara but kwa sasa ndio imezima kabisa haidisplay chochote mkuu.
nimekupata ila data zako zipo bila tatizo wala hazijapotea, cha kufanya toa battery na memory alafu zirudishe na uwashe tena kama itagoma hapo kutakuwa na tatizo kubwa huenda ni over heating ndio inasababisha hilo tatizo
Nime jaribu kufanya ulivyo niambia mkuu but haijawaka..then kuhusu over heating pindi nilipo kuwa naitumia ilikuwa inapata moto sana kiasi kwamba ilikuwa tofauti na nyingine nilizo wahi kutumia.Nifanyaje mkuu naomba uendelee kunishauri.
Samsung model NP-Q45c
Izo registry za kweny body zmefail jarib kuifiungua ipulizwe joto