laptop ina tatizo la kuganda ku {stuck}

sayicom

Member
Jul 2, 2011
66
1
Habari JF
dell latitude D531 napokuwa nafanya kazi au kuangalia movie imekua ikiganda au ku stuck mara kwa mara nini tatizo au nifanye kipi niondokane na tatizo hili msaaada pleaz
 
hiyo itakuwa video driver haijawa installed chakufanya fungua hii link hapa chini chagua operating system iliyokuwa installed ktk pc yako alafu download video driver na uinstall kta laptop yako na ukishamaliza restart computer na ujaribu kucheza video zako

Drivers and Downloads | Dell [United States]

dell.PNG
 
Mkuu kuganda kwa hiyo Laptop yako kunatopka na kua hiyo laptop inapata sana joto na pia angalia Feni zake zinafanya kazi sawasaw?na pia ukiwa unatumia hiyo laptop jaribu uitowe Betri yake tumia chaji ya umeme pasipo na betri itasaidia kuto ganda hiyo laptop fanya hivyo kisha unipe Feedback.


its overheating as the exhaust fan is not working properly,
take it to technician who will open it up and then cleans the dut,

u can do it at home by using compressed can of air, blow it through the area where fan runs, remember dont spray it directly on the fan itherwise bearing of fan will loose its position.

After that if it constantly freezing up the nu need to take it to technician who will confirm the thermal paste between the laptop processor and heat sink whethere it is intact or not.
 
mara nyingine huwa ni uwingi wa mafaili na virus. Jaribu pia kuscan vizuri na angalia available memory uone.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom