laptop ikiandika replace betry, je | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

laptop ikiandika replace betry, je

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mansakankanmusa, Jul 16, 2012.

 1. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,084
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280
  niitoe au imekaa vibaya? mboni huwa inatulia, kwa sasa inachora alama ya X pale pale penye kama betry ya tochi
   
 2. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  actually, it doesnt matter kama huwa baadae inatulia..kama inatokeaga hivi mara kwa mara sio dalili nzuri!! mi yangu ilianza hivyohivyo...saiz inaonyesha :0% available, plugged in not charging! so naitumia kama desktop tu..betri kushney!!
   
Loading...