Laptop HP Pro book 4320s inauzwa

Kaudunde Kautwange

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,243
2,000
Habari wako...

Nauza laptop tajwa hapo Juu....

Ram 2gb
Processor core i3
HDD 250gb
Inakaa Na charge 3hrs

Haina tatizo lolote... Kama una hitaji ni PM au piga 0752647796.
Bei Tsh. 400,000/=

Karibu sana.
 

Timin

Member
Sep 25, 2013
7
20
Habari wako...

Nauza laptop tajwa hapo Juu....

Ram 2gb
Processor core i3
HDD 250gb
Inakaa Na charge 3hrs

Haina tatizo lolote... Kama una hitaji ni PM au piga 0752647796.
Bei Tsh. 400,000/=

Karibu sana.
Upo wapi mkuu? Mie nipo Iringa. Ninapenda kuiona physically.
 

K W L

JF-Expert Member
Jun 28, 2013
232
225
Habari wako...

Nauza laptop tajwa hapo Juu....

Ram 2gb
Processor core i3
HDD 250gb
Inakaa Na charge 3hrs

Haina tatizo lolote... Kama una hitaji ni PM au piga 0752647796.
Bei Tsh. 400,000/=

Karibu sana.
250000 kama inafaa 0762525846
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom