AMAFUMU JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 221 Reaction score 114 Nov 15, 2017 #1 Nimeibiwa laptop Hp nyeupe jana 14.11.2017 maeneo ya kigamboni. Please kwa yeyote yule aliyeiba ama la. Naomba kuuziwa tena hiyo laptop kwani mali iliyobeba ni zaidi ya maisha yangu. Nitakachoweza ni kuinunua tena kwa namna yoyote ile. Call 0714227532 ama whatsAp 0627911500.
Nimeibiwa laptop Hp nyeupe jana 14.11.2017 maeneo ya kigamboni. Please kwa yeyote yule aliyeiba ama la. Naomba kuuziwa tena hiyo laptop kwani mali iliyobeba ni zaidi ya maisha yangu. Nitakachoweza ni kuinunua tena kwa namna yoyote ile. Call 0714227532 ama whatsAp 0627911500.
Nyati JF-Expert Member Joined Mar 6, 2009 Posts 2,528 Reaction score 1,917 Nov 15, 2017 #2 Pole sana! Nakuelewa unavyosema hivyo. La kujifunza tuwe na mazoea ya kuchukua Backup, Maana mtu anaweza kukurudisha nyuma miaka kumi.
Pole sana! Nakuelewa unavyosema hivyo. La kujifunza tuwe na mazoea ya kuchukua Backup, Maana mtu anaweza kukurudisha nyuma miaka kumi.
algorithim JF-Expert Member Joined Aug 29, 2016 Posts 878 Reaction score 909 Nov 15, 2017 #3 hiyo laptop nimeuziwa jana 250,000 njoo pm tuyajenge naiuza kwa sh 1,200,000 kama upo serious ukuje P.M tufanye miamala.
hiyo laptop nimeuziwa jana 250,000 njoo pm tuyajenge naiuza kwa sh 1,200,000 kama upo serious ukuje P.M tufanye miamala.