Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,717
- 15,275
jamani naombeni msaada laptop yangu aina ya hp530 tangu mwaka uanze haisomi dvd nilidhani tatizo ni dvd drive lakini sasa nina external dvdrw drive lakini nikiweka bado haisomi dvd bt hyo driver nikiweka kwingine inasoma sijui tatizo nini wenye utaalam msaada