Laptop Battery

Laptop Battery

Mwalimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
1,600
Reaction score
1,089
Laptop yangu ina tatizo....

Ninapoweka kwenye umeme na kuiwasha inafanya kazi kwa muda fulani huku battery ikiwa inacharge kama kawaida lakini ghafla huwa inaacha kucharge kuwa inarun on battery mpaka inazimika kabisa. Nimejaribu kubadilisha battery na kuweka mpya lakini tatizo hili bado linaendelea. Mnaweza kunisaidia utaalamu kujua tatizo litakuwa ni nini?

Natanguliza shukrani!
 
jaribu kubadilisha na iyo adapter/charger inaweza kuwa ndio tatizo wala sio battery
 
Back
Top Bottom