Tafadhali natumia laptop asus 64bit os,mudamwingi inakuwaipo connected ktk charge lkn kwa sasa inkuwa inapata moto,ijapokuwa ninatumia pia feni ya laptop ya nje lkn bado mashine inapata moto,je hali hii yaweza kuwa inasababishwa na nini,na nawezakuiondoa hali hii kwa njia ipi>msaada tahfadhali