Mdeke_Pileme JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,599 Reaction score 2,248 Jun 9, 2018 #1 Habari wanajukwaaa Msaada nina laptop yangu hapa imeanza kusumbua batani, Kuna baadhi ya batan hazitaki kubonyezeka. Kuna Q,W,E,R,T,Y,U,I,O,P Pamoja na enter haifanyi kazi. Hapo tatizo litakuwa nini, msaada wa haraka kwa wanao fahamu.
Habari wanajukwaaa Msaada nina laptop yangu hapa imeanza kusumbua batani, Kuna baadhi ya batan hazitaki kubonyezeka. Kuna Q,W,E,R,T,Y,U,I,O,P Pamoja na enter haifanyi kazi. Hapo tatizo litakuwa nini, msaada wa haraka kwa wanao fahamu.
Wizzdude JF-Expert Member Joined Apr 4, 2015 Posts 234 Reaction score 405 Jun 9, 2018 #2 Peleka kwa fundi mkuuu!!! Hapa huwez kutambua kwa undan tatzo linalohusu kifaa chako!!
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 24,268 Reaction score 43,156 Jun 9, 2018 #3 Space botton na Back botton je?
Mdeke_Pileme JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,599 Reaction score 2,248 Jun 10, 2018 Thread starter #4 Wizzdude said: Peleka kwa fundi mkuuu!!! Hapa huwez kutambua kwa undan tatzo linalohusu kifaa chako!! Click to expand... Sawa mkuu, nimekuelewa
Wizzdude said: Peleka kwa fundi mkuuu!!! Hapa huwez kutambua kwa undan tatzo linalohusu kifaa chako!! Click to expand... Sawa mkuu, nimekuelewa
Mdeke_Pileme JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,599 Reaction score 2,248 Jun 10, 2018 Thread starter #5 Aleyn said: Space botton na Back botton je? Click to expand... Space botton in function lakin Back botton haifanyi kazi
Aleyn said: Space botton na Back botton je? Click to expand... Space botton in function lakin Back botton haifanyi kazi
Dragoon JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 7,012 Reaction score 8,150 Jun 10, 2018 #6 ukicheki zote naona ni button za mstari mmoja. Technically suala hili linatibika, lakini mpaka kwa fundi.
ukicheki zote naona ni button za mstari mmoja. Technically suala hili linatibika, lakini mpaka kwa fundi.