imetulia japo bado nakukimbiza kwenye prosesa, Graphics yake ipoje ?
imetulia japo bado nakukimbiza kwenye prosesa, Graphics yake ipoje ?
imetulia japo bado nakukimbiza kwenye prosesa, Graphics yake ipoje ?
Duh...kila kitu ni poa ila apo kwenye Processor sio kabsaaa....1.8Ghz not fair
umesahau kwamba ni 8 cores1.8Ghz not fair
View attachment 1170933
yangu iyo ( desktop)
mkuu wewe unaishi Arusha ? Nimeona sticker ya Mica ,[emoji847][emoji847]
Gpu ndio huna mkuu hapo.Ina Graphic mbiliView attachment 1170932
sahau,iyo inazidiwa na Core i3 Pro 3.0 Ghz
GRAPHICS DESIGNING
RAM: GB 4
Naombeni ushauri zaidi kama kuna the best zaidi ya apo especially kwenye Graphics display
Wataalam bila kupoteza muda niende kwenye mada nataka ninunue Laptop muda si mrefu na ni special kwa ajili ya GRAPHICS DESIGNING nikiwa nimelenga vigezo vifuatavyo
BRAND: HP Spectre au Pavilion
HDD: GB 500/+
RAM: GB 4 (Expendable)
PROCESOR: Intel core i7 (7thGen) (K)
with NVIDIA GEE FORCE
(Hii sio ya msingi sana ikiwa 360 convertable to tab sawa)
Kama ni mtumba/mpya kibongo bongo kwa Dar naweza pata kwa bei gani bajeti yangu niliplan kwa 700K
Naombeni ushauri zaidi kama kuna the best zaidi ya apo especially kwenye Graphics displays n.k
Considering ya kwanza kuhusu graphics design na pia "HDD" na ram 4gb
Huwa from time to time i try out animation softwares so kuwa the same as graphics design, huwa HDD ni a bad choice kwasababu inakuwa na a slow write and read speed so tafuta SSD, hata hivyo ndio pc za sasa zilivyo na pia RAM 4GB itakusumbua nilitumiaga a 4GB ram on LENOVO na reading simulation ya 3dobjects (After FX) ilikuwa ngumu na program huwa ina crush so nunua a minimum 8gb ila kama ya jamaa a 16gb to be safe kwasababu software zina kuwa upgraded.
Sasa kwenye graphic card sio muhimu kwenye graphic designing huwa CPU inafanya kazi yote from rigging to sculpting na Graphic card inakuja kwenye viewport za programs kama MAYA na pia ukiwa na CPU kubwa haina haja Labda kama una taka kufanya GPU rendering ndio uwe na GPU kubwa
So focus kwenye CPU sanasana na Cores sio muhimu ni Clock speed eg 1.8ghz so tauta yenye clock speed kubwa kama
CPU :Intel i7 8750H
RAM: 16GB
SSD: 500GB+
HDD: Sio lazma but for space unaweza tumia
GPU: NVIDIA GTX 1060
LAPTOP: GIGABYTE AERO 15 (AI LAPTOP )