LAPTOP ACER INAUZWA

jnbg

Member
Apr 12, 2016
84
82
Ninauza laptop aina ya Acer aspire Es1-512.Specs yake ni kama ifuatavyo
HD500

PROCESSOR-2.16 GHZ

RAM-2GB

Display/screen-15.6 inches

Ina betri imara inayoweza kukaa na chaji zaidi ya masaa 4.Bado iko katika hali nzuri na haina tatizo lolote

Bei-550000 maelewano yapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom