Habari zenu, nimeshangazwa na hizi laptop zangu 2 moja ni Dell Latitude D630
na nyingine ni Dell Insipiron 6000. Huwa nikiweka modem kwenye D630 inashika
vizuri kuliko Inspiron 6000 ambayo huwa inakatakata NETWORK, hii inatokana na
nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.