Kweli ni haki kweli hii hatuelewi kinachoendelea na kama walishaita watu na majina waliyatangaza kwa kutumia media gani?.....kwakweli kwa njia hii inachosha na kukatisha tamaa......TANZANIA inanuka ubinafsi na rushwa.......sisi watanzania ambao tunatokea kwenye jamii ya chini kwakweli tunapata shida sana.....mashirika binafsi ambayo tumejitolea zaidi ya mwaka yanatunyanyasa nayo makampuni ya serikali yanatoa nafasi za kazi feki.......kwa hali hii tutafika kweli jamani....MACHOZI YA UCHUNGU YANANITOKA,....... KIMENUKA MA PIPO