Hapa Obama alikuwa amesema nini mpaka huyo jamaa akainua kidole cha kati?...just curious!Naona wanasema ana 'tatizo' la schizophrenia, ni kitu gani hasa wajuzi wa mambo!? Kweli vituko vya Afrika ni zaidi.
View attachment 126262
ndio maana nasema bara letu limekuwa sehemu ya vituko!Hapa Obama alikuwa amesema nini mpaka huyo jamaa akainua kidole cha kati?...just curious!
Schizophrenia ni ugonywa mbaya wa Akili.Unaona ghafla Mtu anaamka asubuhi anachukuwa bunduki anaenda kuua Watu barabarani ,mashuleni kisa Akili yake inamwambia hao Watu wabaya watamuua nk,Au Mtu Anaua watoto wake wote kisa Akili yake inamwambia watoto wako uwaue watakuwa na Amani hawapo safe ,Au ghafla unaanza kuhusu Watu Woote bongo wanakukuatilia maisha Yako na wanataka kukuumiza Basi unaanza kujificha ,NkNaona wanasema ana 'tatizo' la schizophrenia, ni kitu gani hasa wajuzi wa mambo!? Kweli vituko vya Afrika ni zaidi.
View attachment 126262
ii alama ya kNaona wanasema ana 'tatizo' la schizophrenia, ni kitu gani hasa wajuzi wa mambo!? Kweli vituko vya Afrika ni zaidi. Hii alama ya kuinua kidole kimoja cha kati ina maana gani kwa viziwi au jamaa alikua anaendeleza usanii wake
View attachment 126262