Software Engineer
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 344
- 137
Natafuta landrover kama hii HAPA
Spec:
1. Isizidi 2,490cc
2. Diesel
3. Right hand
4. Iwe bado haijaanza kutumika TZ
5. Airbag
6. Sunroof
7. Mileage 8. Color : Kama ilivyo kwenye picha
Mwenye naye tuwasiliane.