landmark kunduchi

Short listed ndo hupigiwa simu kwa ajili ya interview. Kwani tangazo la kazi waliwaambia wote mtapigiwa simu?
 
Short listed ndo hupigiwa simu kwa ajili ya interview. Kwani tangazo la kazi waliwaambia wote mtapigiwa simu?

hapana unajua yule babu aliekuwa akipokea barua alisema interview tarehe 20 muwahi
 
kesho kitanuka pale sipati picha
 
nenda ukarudishwe getini
eti jaman landmark hotel kunduchi washaanza kuwapigia simu watu au ndo unaenda tu kwenyee interview kama ulituma barua kwasababu ni 20 ndo interview. Tujuzane
 
kama naliona balaa la kesho yamebaki masaa 18 tu
 
Huja be civilised? Umeshaitw wewe jamaa?

mimi nimepeleka barua pale nikaambiwa tareh 20 nisikose saa mbili sasa nikienda alafu waseme mpaka tukupigie siwaelewi coz hawajaniambia hivyo mimi nilimuuliza yule babu namba ya simu siandik akasema haina haja we njoo tu
 
Hujaacha namba? Chakaaa ume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…