stewie Senior Member Joined Sep 30, 2019 Posts 118 Reaction score 285 Oct 25, 2023 #1 Imekaaje landlord kukuambia ataanza pokea rent ya mwaka badala ya miezi 6!? Mfano ni wewe how would you react !!
Imekaaje landlord kukuambia ataanza pokea rent ya mwaka badala ya miezi 6!? Mfano ni wewe how would you react !!
Fallback JF-Expert Member Joined Aug 7, 2023 Posts 11,399 Reaction score 20,580 Oct 25, 2023 #2 stewie said: Mfano ni wewe how would you react !! Click to expand... Nahama
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,007 Reaction score 165,535 Oct 25, 2023 #3 Akufukuzaye hakuambii toka
CODE-04 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 1,024 Reaction score 2,873 Oct 25, 2023 #4 stewie said: Imekaaje landlord kukuambia ataanza pokea rent ya mwaka badala ya miezi 6!? Mfano ni wewe how would you react !! Click to expand... Huhitaji kureact in negative way.Hali kama hyo ndio iliyowafanya wengine waanze mipango yakutaka kujenga..,best solution ya haraka nikuhama hapo.
stewie said: Imekaaje landlord kukuambia ataanza pokea rent ya mwaka badala ya miezi 6!? Mfano ni wewe how would you react !! Click to expand... Huhitaji kureact in negative way.Hali kama hyo ndio iliyowafanya wengine waanze mipango yakutaka kujenga..,best solution ya haraka nikuhama hapo.
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 12,281 Reaction score 25,657 Oct 25, 2023 #5 mwambie huwezi akupe notisi ukae bure miezi 3 akileta kiburi mpeleke polisi nyambafuu kabisaa. au na wewe mkuu usikute kila siku unapika maini na mchele wa kyela unaonukia. mayai ya kienyeji asubui mzee akaona huyuu anahela
mwambie huwezi akupe notisi ukae bure miezi 3 akileta kiburi mpeleke polisi nyambafuu kabisaa. au na wewe mkuu usikute kila siku unapika maini na mchele wa kyela unaonukia. mayai ya kienyeji asubui mzee akaona huyuu anahela
stewie Senior Member Joined Sep 30, 2019 Posts 118 Reaction score 285 Oct 26, 2023 Thread starter #6 chuma cha mjerumani said: mwambie huwezi akupe notisi ukae bure miezi 3 akileta kiburi mpeleke polisi nyambafuu kabisaa. au na wewe mkuu usikute kila siku unapika maini na mchele wa kyela unaonukia. mayai ya kienyeji asubui mzee akaona huyuu anahela Click to expand... [emoji23]hakai hapa hata boss
chuma cha mjerumani said: mwambie huwezi akupe notisi ukae bure miezi 3 akileta kiburi mpeleke polisi nyambafuu kabisaa. au na wewe mkuu usikute kila siku unapika maini na mchele wa kyela unaonukia. mayai ya kienyeji asubui mzee akaona huyuu anahela Click to expand... [emoji23]hakai hapa hata boss
stewie Senior Member Joined Sep 30, 2019 Posts 118 Reaction score 285 Oct 26, 2023 Thread starter #7 0404 said: Huhitaji kureact in negative way.Hali kama hyo ndio iliyowafanya wengine waanze mipango yakutaka kujenga..,best solution ya haraka nikuhama hapo. Click to expand... Ni kweli, ila mziki wa kuhama sio poa but life should go on!
0404 said: Huhitaji kureact in negative way.Hali kama hyo ndio iliyowafanya wengine waanze mipango yakutaka kujenga..,best solution ya haraka nikuhama hapo. Click to expand... Ni kweli, ila mziki wa kuhama sio poa but life should go on!
stewie Senior Member Joined Sep 30, 2019 Posts 118 Reaction score 285 Oct 26, 2023 Thread starter #8 Bujibuji Simba Nyamaume said: Akufukuzaye hakuambii toka Click to expand... au sio, nakubali