Land Rover Discovery V8

utalia ushuru wake..hiyo gari cif ni usd 3100 lakin ushuru wake ni 9.6m
 
Mkuu Chezo, jamaa hajauliza bei ya gari bana; nnina hakika ameshafanya uchunguzi wa bei na kila kitu akaona iko ndani ya bajeti yake ndiyo maana anaulizia fuel consuption.
 
utalia ushuru wake..hiyo gari cif ni usd 3100 lakin ushuru wake ni 9.6m

hv kwanini ushuru unakuwa juu sana ktk magari?? Kuna fiscal objective gan wanayo jaribu kui achieve kwa kuweka mamilioni yote hayo?
 
Spea zake zipo za kumwaga tu pale Auto Rover Libya street Dar es salaam, na kuhusu fuel kama umejipanga kununua gari hiyo ni utoto kuuliza kuhusu fuel cosumption, huo ni uppuzi.
Kama uwezo wako ni mdogo nunuwa starlet ndio ya kiwango chako. ni upumbavu kutaka kununua Range Rover Vogue halafu utuulize kuhusu fuel consumption.
 
Kaka mtake radhi jamaaa
 
Naomba ushauri kuhusu Land Rover Discovery V8 ya 1997 sana sana kwenye matumizi ya mafuta na spea

Spea ziko za kumwaga libya street, na mafuta inakula wastani, depending na uko safarini au uko kwenye foleni za mjini. Ila ni gari nzuri sana na ziko durable
 
Mkuu je na spea za Landrover 130 Tdi zapatikana hapo Libya Street? je ni mpya au Used?
 
Spea zake zipo za kumwaga tu pale Auto Rover Libya street Dar es salaam, na kuhusu fuel kama umejipanga kununua gari hiyo ni utoto kuuliza kuhusu fuel cosumption, huo ni uppuzi.
Kama uwezo wako ni mdogo nunuwa starlet ndio ya kiwango chako. ni upumbavu kutaka kununua Range Rover Vogue halafu utuulize kuhusu fuel consumption.

Badala ya kumwaga matusi kwa muuliza swali, ilipasa umuelimishe kwa kujibu maswali yake.

Jibu lako lingekuwa

Spea zake zipo za kumwaga tu pale Auto Rover Libya street Dar es salaam, na kuhusu fuel kama umejipanga kununua gari hiyo basi utumiaji wa mafuta isiwe kigezo.

Mr. Politician, kuhusu fuel consumption tegemea an average of 6.5km per litre at normal driving speeds. With the traffic ques in Dar basi consumption itakuwa kubwa zaidi and the distance covered per litre will be lower.
 
Nilikuwa sijiu kama upumbavu ni tusi, nilikuwa najuwa kuna watu wenye sifa ya kuitwa hivyo kwa wakati husika, na labda sasa niongee kwa kukupendezesha wewe ili ufurahi, kama umefikiwa kiwango cha kumiliki gari mafuta sio issue, na kama wewe ni economy basi nunuwa Bajaj shida iko wapi?
 
As you wish!
 
Ulikuwa hujui kuwa ni tusi?????loh!!hii ni mpya
 
Spea zake zipo za kumwaga tu pale Auto Rover Libya street Dar es salaam, na kuhusu fuel kama umejipanga kununua gari hiyo ni utoto kuuliza kuhusu fuel cosumption, huo ni uppuzi.
Kama uwezo wako ni mdogo nunuwa starlet ndio ya kiwango chako. ni upumbavu kutaka kununua Range Rover Vogue halafu utuulize kuhusu fuel
consumption.

I like this, kama kweli he is serious hata uki search tu specifications za hii gari inakupa Fuel consumption, on highway & on town, he is kidding, maswali mengine like Primary xcul/kindergaten
 
Back
Top Bottom