vizuri mkuu.Mim ni mpenzi wa luxury car mkuu nikipata picha nzuri siyo mbaya ku share
Bei Sasa
Kwenye mambo ya Magari huwa nakukubali sana Mkuu RRONDOToo old...2005 ni miaka 12 imepita. Ukinunua hilo gari weka akiba 10m kuliweka sawa. Haya magari yakifikisha miaka 10 vitu vingi huwa vinatakiwa kubadilishwa.
Hilo discovery 3 linatumia air suspension kwa umri huo zinakusubiri, ikiwa UK hamna shida lami hadi kibarazani. Ukilileta bongo na umri huo miezi mitatu tu hizo air suspension zinakupasukia msala wako huo si chini ya 3m set nzima.
Compressor na condensor ya AC, radiator ikifika bongo miezi michache lazima uvibadili kwasababu UK kuna baridi kwahio AC inatumika mara chache sana kwa mwaka, ikija bongo inatumika 24/7 365! Lazima itumbuke. ILA UKIFANIKIWA KUBADILI KINACHOHARIBIKA NI MKATABA.
USHAURI:Ukinunua magari ya ULAYA jitahidi lisizidi miaka 7 ndio at least uta-enjoy for few yeras kabla hujamuuzia mtu! Kwa maana hio usninunua lililo chini ya 2010 otherwise ni kamari!
Mkuu vipi kuhusu landrover discovery TD5Too old...2005 ni miaka 12 imepita. Ukinunua hilo gari weka akiba 10m kuliweka sawa. Haya magari yakifikisha miaka 10 vitu vingi huwa vinatakiwa kubadilishwa.
Hilo discovery 3 linatumia air suspension kwa umri huo zinakusubiri, ikiwa UK hamna shida lami hadi kibarazani. Ukilileta bongo na umri huo miezi mitatu tu hizo air suspension zinakupasukia msala wako huo si chini ya 3m set nzima.
Compressor na condensor ya AC, radiator ikifika bongo miezi michache lazima uvibadili kwasababu UK kuna baridi kwahio AC inatumika mara chache sana kwa mwaka, ikija bongo inatumika 24/7 365! Lazima itumbuke. ILA UKIFANIKIWA KUBADILI KINACHOHARIBIKA NI MKATABA.
USHAURI:Ukinunua magari ya ULAYA jitahidi lisizidi miaka 7 ndio at least uta-enjoy for few yeras kabla hujamuuzia mtu! Kwa maana hio usninunua lililo chini ya 2010 otherwise ni kamari!
TD5 ni ya zamani zaidi. Wakati unanunua jitahidi upate service history, otherwise unaweza kukumbwa na expensive maintanance kwasababu ya umri wa gari.Mkuu vipi kuhusu landrover discovery TD5
Nimekuelewa sana mkuuToo old...2005 ni miaka 12 imepita. Ukinunua hilo gari weka akiba 10m kuliweka sawa. Haya magari yakifikisha miaka 10 vitu vingi huwa vinatakiwa kubadilishwa.
Hilo discovery 3 linatumia air suspension kwa umri huo zinakusubiri, ikiwa UK hamna shida lami hadi kibarazani. Ukilileta bongo na umri huo miezi mitatu tu hizo air suspension zinakupasukia msala wako huo si chini ya 3m set nzima.
Compressor na condensor ya AC, radiator ikifika bongo miezi michache lazima uvibadili kwasababu UK kuna baridi kwahio AC inatumika mara chache sana kwa mwaka, ikija bongo inatumika 24/7 365! Lazima itumbuke. ILA UKIFANIKIWA KUBADILI KINACHOHARIBIKA NI MKATABA.
USHAURI:Ukinunua magari ya ULAYA jitahidi lisizidi miaka 7 ndio at least uta-enjoy for few yeras kabla hujamuuzia mtu! Kwa maana hio usninunua lililo chini ya 2010 otherwise ni kamari!
Kama ka 30 hivi nadhanBei Sasa