Habari zenu wana Jamii.
Leo natangaza kuuza LAND ROVER 110 MAKE MODEL 1998 300 SERIES.
Ipo katika hali nzuri sana na imelipiwa kodi zote hadi mwaka 2013
Bei yake ni 7,500,000/= Tunaweza kuzungumza kidogo sana kuhusu bei. Gari ipo Mburahati DAR ES SALAAM
Hii ni mali yangu nahitaji mnunuzi na wala sio dalali (DALALI HATAKIWI)
Ambaye yupo tayari tuwasiliane kwa simu No. +255713500504 au email address: georgematayo570@yahoo.com
TAFADHALI SIHITAJI COMMENTS WALA PMS/PRIVATE MASAGES KWAKUA HAZITA JIBIWA
<br>Mkuu funguka zaidi unaweza kuwa unauza kitu kizuri lakini mikwara ikaharibu. <br>
Niko mkoani lakini nawezatuma mtu akaja kuangalia! Weka vizuri mkuu ni S/wagon ama ni pick up! Ni short chassis ama ni long. Engine ni standard ama ushaifanyia mautengenezo mara kadhaa nk!
................................................
Ok. ngongo body iko vizuri ni station wagon cc 2500 kesho ntaweka picha yake na ntaweka kilometer/umbali ilio tembea
:fencing:
Mkuu anophelesi hii :fencing: sio mimi ila ipo kwenye signature ya huyo Mkuu Amoeba alie weka ........... hapo juu kwenye post yake no 3Du! Mkuu ungezaliwa Xhing Huang ungekua juuuuu!!
atakaye shindwa hiyo aje kwangu nina 109 sries 2, ina hali nzuri inatembea, body imenyooka, tairi unaenda mkoa wowote ule ukiwasha. Bei 3.5 mill.
Dalali hutakiwiiiiiii. Kitu kipo Arusha.