Ndio @ Koba, Nawaonea hawa wa Burundi huruma maana wote ni wazaliwa wa Tanzania na wamefanya shughuli zao humo. Lakini serikali ina taka kuwafurusha mpaka kwao kwa misingi ya Security. This is worse than Land grabbing. Inaonekana ardhi sio ya mwenyezi mungu tanzania, bali ni ya makaburu wenye wanamiliki sehemu za uchimbaji migodi.