| Engine |
|
|---|
| Engine |
|
|---|
Hakuna haja ya samahani mkuu...sio lazima sana mtu ayasome,ni ziada tu,kikubwa ni kushare passion za LC.Intro umeaiandika vzr mkuu lkn hayo maelezo from wikipedia ungeyatoa maana yanachafua uzi na hakuna atayeyasoma(yameifanya thread kuonekana ndeeefu na kupoteza mvuto).,samahani lkn.
Thread nzuri.
Hakuna haja ya samahani mkuu...sio lazima sana mtu ayasome,ni ziada tu,kikubwa ni kushare passion za LC.
Shukrani, nimerekebisha kidogo, waweza ongezea unavyojua zaidi yangu n.kMwanzo umeanza vizuri kuelezea unavyolijua wew ila futa hayo maelezo ya kugoogle..marefu na yana bore kuyasoma,ungeweka link tu ingetosha
Vyuma vimetulialand cruiser trim levels za 200 series;
GX standard - hii ni standard land cruiser haina maudambu dambu yoyote hata taa zake ni za kawaida tu, milango yake ya nyuma ipo kama kabati, yani ipo kikazi zaidi
View attachment 1592252View attachment 1592253
GX-R - hii imeongezewa kidogo manjonjo mfano taa za LED
View attachment 1592254
ikitoka hapo inakuja VX
VX- hii imechangamka zaidi za GX
View attachment 1592255
VX-R
View attachment 1592256
VXS- naziona zaidi kwenye soko la uarabuni
View attachment 1592263
ZX -
View attachment 1592257
Sahara - hii ndio top yaani kilele cha landcruiser, hii imejitosheleza kwa kila kitu na option zote toka kiwandani zimewekwa.
View attachment 1592259
Wanaojua zaidi waweza kunirekebisha na kuongezea
Hakuna haja ya samahani mkuu...sio lazima sana mtu ayasome,ni ziada tu,kikubwa ni kushare passion za LC.
Acha tu. Watu wanaishi mkuu wengine tunasindikiza, Tupambane nduguView attachment 2367950
Kuna siku nilipishana nayo hii chuma, ya mzungu alaf kaweka exhaust pipe kubwa, dah nikasema kweli kuna watu wanaishi.
Kumbe unalewaga pombe usiyoinywa mkuu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwangu GXL Wagon au GXL Double cab ndio ulevi wangu, inshallah siku moja yes. Itatiki tu.