Land Cruiser Prado (Short Chasis) for Sale (Just Imported)

Land Cruiser Prado (Short Chasis) for Sale (Just Imported)

Shakir

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
1,735
Reaction score
2,152
Wadau, Nauza Land Cruiser Prado (Short Chasis).
Gari hii ina siku moja tu toka itoke bandarini.

Details Muhimu;
YOM; 2000
Mileage; <50,000Kms
Color; Gray
Bei; 27Mil (Neg)
Steering: Right
Transmission: Automatic
Number of Doors; 3
Contacts; 0716 637 522
View attachment 69181
View attachment 69180
 
kwa nn unaliuza wakati lina siku 1 tu hapa bongo?
 
kiwanja tu sina, 27 m ntapata wapi? Nakuombea dua upate mteja haraka na wa bei iliyonona
 
Mijitu mijizi sana 27m wakati wewe hiyo gari mpaka unaitoa haijazidi 17m
 
Mijitu mijizi sana 27m wakati wewe hiyo gari mpaka unaitoa haijazidi 17m

Hahaha,
Sasa nimejua ni wivu unakusumbua. Yaani unaona tabu sana mtu anapost anauza gari wakat wewe hata baiskeli huna. Watu kama nyinyi ni wa kuwa-ignore tu.

Kwanza kwa JF yenye members 96,000 sishangai kupatikana mtu wa tabia yako.

Ushauri wangu wa bure,
Kama hali yako kifedha haikuruhusu kua na hiyo baiskeli basi usijenge bifu na wenye nacho, jenga bifu na akili yako, kisha Serikali yako
 
Mheshimiwa,
Utakuta huyo ndo haswaa propective buyer wa hiyo gari.
Usimmwagie povu hivo.
Kumbuka jinsi ya kuhandle customers.
Amini usiamini, wanaothubutu kufungua thread yako ndio wanaoweza kuwa wanunuzi!
 
kabisa.
 
PJ,
Huyu jamaa tunajuana, hatujaanzana hapa mkuu wangu, cheki uzi mwingine jirani wa kuuza Altezza ndio utamuelewa

Otherwise thanks 4 ad advice mkuu wangu, amani iwe kwako
 
Ila gari inavutia lakini kahela karefu

Kaka bei inazungumzika,
Nipe ofa yako kwa kwa hapahapa, PM, au SMS.

Please ukini-sms naomba unitajie kwamba ni ya Prado ili nijue!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom