model ya 2008 mpaka 2010 bei kwa rand ni kuanzia rand 270000 mpaka rand 300000 na 2011 mpaka 2015 zinaanzia rand 320000 mpaka rand 480000 zidisha Tsh 160 rate iliyopo kupata bei kwa shilingi jumlisha na kodi zake zinaanzia 25 milion na kuendelea hilo kwa litakalotoka South Africa hapo gharama ya mafuta na karatasi za interpol na road toll za Zambia na Botswana sijaweka walionunua hapo sidhani kama wanaweza kuuza kwa bei offer yako ya 65m labda liwe lishapata ajali harafu uuziwe bila kujua lakini kwa maelezo yako tuendelee kusubiri...