Habari zenu wana JF kama Heading inavyojieleza Gari aina ya Land Cruiser GX V8 inauzwa kwa bei poa kabisa ya Mi.115 lakini pia maongezi yapo na bei inaweza kupungua kidogo kutokana na hali ya sasa.
Karibuni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.