The Boss hapo ni balaa ikija kujulikana kuwa anatumia
Inawezekana anapewa bila hata yeye kujua
Ila kwa umaarufu Usain Bolt aliofikia na kuja kuambiwa kuwa anatumia madawa ni balaa
Unamkumbuka yule mwanadada wa kimarekani Marion Jones nae alikuwa maarufu sana kwenye mbio za mita 100 naye yalimkuta haya haya ya madawa na ikawa ndio mwisho wake