g.n.n JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 407 Reaction score 49 Jul 11, 2011 #1 Habari, Natumia moderm ya voda k3570-z but toka nimeanza kuitumia mobile connection ndo inakuwa connected wakati LAN connection haiwi connected. Je hii haina effect kwenye internet speed.Naomba maarifa zaidi wakuu.
Habari, Natumia moderm ya voda k3570-z but toka nimeanza kuitumia mobile connection ndo inakuwa connected wakati LAN connection haiwi connected. Je hii haina effect kwenye internet speed.Naomba maarifa zaidi wakuu.