Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,701 Reaction score 6,936 Apr 29, 2021 #41 SNAP J said: Wakandarasi wanafanya kazi masaa 24/7.View attachment 1765932 Click to expand... Hii ni baada ya Magu kuondoka au kabla?
SNAP J said: Wakandarasi wanafanya kazi masaa 24/7.View attachment 1765932 Click to expand... Hii ni baada ya Magu kuondoka au kabla?
T Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 8,460 Reaction score 17,169 Apr 29, 2021 #42 Tatizo hata ujieleze kirefu na kitaalamu, sikuelewi na sitaki kukuelewa, Kwa Bongo yetu, Hawa wapiga wapo wengi sana na inawezakuwa huu nao ni upigaji
Tatizo hata ujieleze kirefu na kitaalamu, sikuelewi na sitaki kukuelewa, Kwa Bongo yetu, Hawa wapiga wapo wengi sana na inawezakuwa huu nao ni upigaji