Lami ya kimataifa

Lea gani wakati hawajac himba na kijaza kifusi mbona tunaona huku Mbezi hadi kufikia hatua hiyo kuna leya kadhaa za udongo kulingana na soil profile ya eneo husika au na wewe fundi mchundo
Unaelewaje unapoambiwa au unapo ona kuwa hii barabara ni ya lami?
 
Ukiona mtu anatetea jambo ambalo hata kwa jicho la mtu ambaye hajasomea fani husika anaweza kuona kuwa ni "upigani / uhuni" basi jua ya kuwa ni mmoja wa wanufaika wa "upigaji/uhuni" huo.
Lea gani wakati hawajac himba na kijaza kifusi mbona tunaona huku Mbezi hadi kufikia hatua hiyo kuna leya kadhaa za udongo kulingana na soil profile ya eneo husika au na wewe fundi mchundo
 
Ahsante Kwa maelezo jambo umetuachia kiu
 
Ukiona mtu anatetea jambo ambalo hata kwa jicho la mtu ambaye hajasomea fani husika anaweza kuona kuwa ni "upigani / uhuni" basi jua ya kuwa ni mmoja wa wanufaika wa "upigaji/uhuni" huo.
[emoji1756][emoji1756] exactly
 
Ukiona mtu anatetea jambo ambalo hata kwa jicho la mtu ambaye hajasomea fani husika anaweza kuona kuwa ni "upigani / uhuni" basi jua ya kuwa ni mmoja wa wanufaika wa "upigaji/uhuni" huo.
Mfano kwenye hiyo picha kuna uhuni gani unafanyika?
 
Asante kwa ufafanuzi maana karibia kila member ni mhandisi wa ujenzi.
 
Kama unaamini unachoandika ,ebu tupigie picha ya barabara kuonesha inayowekwa lami toka mwanzo mpaka mnapokabidhi ndio tutakuamini!! Tumezoea na barabara zenu mnarashia rashia lami baada ya mwaka barabara inarudi kuwa ya vumbi; msitudanganye!!! Mmeibia sana nchi kwenye kandarasi zenu za barabara.
 
[emoji3][emoji3] endelea kushikilia hayo maono wala usiamini haitasaidia, cha msingi tuendelee kusonteana vidole labda malaika watakuja kubadilisha hali iliyopo. Maana naona hata nami umenivika ukandarasi wa barabara kuwa nimeibia sana nchi, wakati najaribu kuonyesha namna gani tunaweza kusaidiana kuboresha sasa sijui hiyo niliyoijenga kwa kurashia rashia ipo wapi.
 
Sawa kabisa Mkuu, naongezea wanatengeneza kitu inaitwa Prime Coat.
 
Na wewe acha ujuaji! Watu wanashangaa hiyo lami nyepesi kumwagwa kwa kutumia kifaa duni kama hicho ingali kuna mashine maalumu kwa kazi hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…