LameckDitto: Moyo Sukuma Damu, bonge la Song

Acha maneno piga mziki

Blah blah blahaaaa sitaki kusikia.......

Haiwezi kumzidi huyu jamaaa(darasa cmg)
 
Ni mara Mia hasingekurupuka kutoa video yake kwanza.

Kingine kilichonifanya niipunguzie kiwango cha utazamaji, ni uvaaji ni kama ame copy na ku paste kwenye video ya Rama dee, "kipenda roho"
 
MOyo jamani sukuma damu,usichanganywe na mengine................ninapata hisia kali sana kwenye wimbo huuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…