Lameck Ditto: Moyo sukuma damu

Pamoja na kwamba tuliufunga mwaka vizuri na wimbo wa taifa Muziki ya darasa, naona huu wimbo wa mkongwe Ditto kama ndo tunafungua nao mwaka maana naona sehemu mbalimbali za burudani ukipigwa tu beat lake mwanzoni amsha amsha zinaanza! Mimi naupiga mara kumi kumi.

Hongera sana mkuu Ditto kwakweli wimbo umetulia na video ni kali bila kumsahau huyo bi dada video queen msambwanda wake hatariiii na classic sio kama wa mama supu ..

Hii video inasifa ya kutufungulia mwaka?


Tayari ushapigwa tukio.mapenzi bhana.kizunguzungu.
 
Hata Mimi nilipozinguliwa na demu wangu ndo ulikuwa wimbo wangu.lakin sasa mambo safi naona wa kawaida.sasa hivi naupenda benediction.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom