Lameck Ditto: Moyo sukuma damu

Lameck Ditto: Moyo sukuma damu

gwa myetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
4,473
Reaction score
4,671
Pamoja na kwamba tuliufunga mwaka vizuri na wimbo wa taifa Muziki ya darasa, naona huu wimbo wa mkongwe Ditto kama ndo tunafungua nao mwaka maana naona sehemu mbalimbali za burudani ukipigwa tu beat lake mwanzoni amsha amsha zinaanza! Mimi naupiga mara kumi kumi.

Hongera sana mkuu Ditto kwakweli wimbo umetulia na video ni kali bila kumsahau huyo bi dada video queen msambwanda wake hatariiii na classic sio kama wa mama supu ..

Hii video inasifa ya kutufungulia mwaka?

 
Wimbo umetulia na ameupangilia, na kuimba mashairi yakaeleweka~ Big up
 
Lameck Ditto (Dogo Ditto) huwa namkubali kitambo sana toka enzi za "Darubini Kali" ya Afande Sele.

Kwakweli hili dude la "Sukuma Damu" amemaliza kila kitu.
 
Mkuu siyo mbaya ukiusifia wimbo ukaweka na link au wimbo wenyewe ili iwe rahisi kwa wale ambao hawajauona.
 
jamaaa kwa mashairi anatisha!!!!
hata anaowatungia inakuaga mizuri ...
moyo sukuma damu si vingine.
 
Video queen ametulia sana!location km ile ya nataka kiki ya ray.
 
Aisee, Mimi huo wimbo nausikiliza sana sasahv, kwanza ngoja nikakasikie tena kawimbo katamu sana. Big up Dito kwa tungo nzuri, melodi na bit pia.
 
Mkuu siyo mbaya ukiusifia wimbo ukaweka na link au wimbo wenyewe ili iwe rahisi kwa wale ambao hawajauona.


Poa mkuu wenye ujuzi watakuja kuweka , tuwekeeni link ya video or audio
 
Ukiimba kuhusu kuteswa na mapenzi utawapata wengi hapa TZ.

BTW, wimbo mzuri ila nadhani ni mzuri zaidi kwa wenzetu waliowahi kutendwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom