Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Mie nasubiri kuona tamati ya hii ndoa.
Mh.kiongzoi, huyu binti ana undugu na Kim?
Yaani ninapata wasiwasi na uhusiano wa mwezi 01 halafu ndoa fasterx2!?
Maybe,inaweza kuwa dhali lao kama watadumu.
Yup yup...mtu na dadake!...ndio maana nasema nasubiri kuona hii
ndoa itakuaje.
Hao wadada kwa nini wanapenda sana ngozi nyeusi? Hebu nisaidie kiongozi.
Mijengo mikubwa mazeee inawasukuma hadi kwenye maini!
I knew this was coming.. π
Why did u ask then mazee?
Hapo huyo binti haioni ngozi nyeusi, anachokiona hapo ni $$$$$. Wape miezi kadhaa utaisikia habari yao, kama jamaa haja-sign prenup utaniambia mwanangu.Hao wadada kwa nini wanapenda sana ngozi nyeusi? Hebu nisaidie kiongozi.