1995_No_Ku_Fake
JF-Expert Member
- Aug 24, 2026
- 1,101
- 2,424
Good night π΄ mkuuUsiku mwema.
Kwenye maisha nimejifunza kitu kimoja: gharama ya kubadilika ni kubwa, lakini gharama ya kubaki pale pale ni kubwa zaidi.
Watu wataona kimya chako, watadhani umepotea.
Wataona huongei, watadhani umeishiwa nguvu.
Hawajui unapambana kujijenga upya.
Sina haraka ya kuthibitisha chochote kwa mtu.
Ninachohitaji ni siku moja nijitazame na kusema:
βNilivumilia, nilijifunza, nikabadilikaβ¦ na sikukata tamaa.β
Usiku mwema Great Thinkers. π
Mazishi yangu Dah... π€π€Ndugu nikajua umekufa
Ni kweli kabisa. Afya ya akili ni muhimu kama afya ya mwili. Tusihukumu mtu kwa anayopitia; wakati mwingine mtu anahitaji kusikilizwa tu, kueleweka na kupewa support. β€οΈMental health is real
πβοΈUmeongea somo na funzo kuu
πππ΄π΄Usiku ukiwa mwema lala
Amen πβοΈAmina...
πβοΈUzi mzuri sana huu π
Week - End π π΄π΄π΄Weekend imeanza au sio
π€π€ππβοΈKaujumbe dah!