Tabasamu la mama lilibeba mengi mazuri na machungu aliyopitia maishani mwake. Lakini hakuondoka wala kudai talaka. Kila alifanya yote hayo Kwa ajili yenu nyie watoto
Mentor.
Ni somo zuri sana, nashukuru kushare nasi, naomba Mungu anijalie tabasamu hilo.