englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,210
Jidanganye tu... Tutapigwa kama watoto wadogo.. Hivi nikumbushe Tz tunaweza nini labda?? Kila kitu tukienda kushindana tunashindwaNjia nzuri ni kwenda kwenye njia hiyo ya usuluhishi na sio kujaribu kutumia mabavu kama JB alivyotaka kufanya. Hawana uwezo wa kuimudu Tanzania hao majamaa wa pande ya pili
Kwaiyo , nini maoni yako basiJidanganye tu... Tutapigwa kama watoto wadogo.. Hivi nikumbushe Tz tunaweza nini labda?? Kila kitu tukienda kushindana tunashindwa
Tusithubutu vita... Tutapigwa hatutaaminiKwaiyo , nini maoni yako basi
Jidanganye tu... Tutapigwa kama watoto wadogo.. Hivi nikumbushe Tz tunaweza nini labda?? Kila kitu tukienda kushindana tunashindwa
kumbe ndo mnavyojikatisha tamaa hiv aloo kushindwa lazima na tutawapiga kisawawa sisi tunamuogopa samata tu yeye peke yake tz hana uoga..Jidanganye tu... Tutapigwa kama watoto wadogo.. Hivi nikumbushe Tz tunaweza nini labda?? Kila kitu tukienda kushindana tunashindwa
Watanzania tunapenda kujipa moyo kwa vitu tusivyokuwa na uwezo navyo... Sikumbuki nchi hii tumeshindana nini tukashinda kwa miaka ya hivi karibuni.. Siasa kila mahali, kuanzia vyombo ya usalama mpaka kwenye michezoKwa hii comments yako nilikuwa na uchovu umepungua ghafla kwa kicheko.......hahahah
Wanajeshi wenyewe hawa wanaokula banana mitaani?? Juzi mwanajeshi kapata kaajari kidogo cha bodaboda, dereva hajatoka hata na jeraha ila mwanajeshi kafa... Endeleeni kujidanganya tukumbe ndo mnavyojikatisha tamaa hiv aloo kushindwa lazima na tutawapiga kisawawa sisi tunamuogopa samata tu yeye peke yake tz hana uoga..
Wanajeshi wenyewe hawa wanaokula banana mitaani?? Juzi mwanajeshi kapata kaajari kidogo cha bodaboda, dereva hajatoka hata na jeraha ila mwanajeshi kafa... Endeleeni kujidanganya tu
Watanzania hakuna tunachoweza... Si kwa kizazi hiki cha kipuuzi..Pole yako @ Fisadi Mku.du, so ww unalinganisha kushindwa ktk sports na War strategies siyo..? Hakika ww unastahili kuombewa si buree..!
Jidanganyeni alafu mkapewe za uso wadanganyika... Wanajeshi wanywa banana hawa waende uwanja wa vita mtegemee watashinda??wewe ni fara mwingine tu.
hahahahah [emoji23] [emoji31] [emoji23] [emoji23] wabongo tuna kashfa sana hahahahahhhWanajeshi wenyewe hawa wanaokula banana mitaani?? Juzi mwanajeshi kapata kaajari kidogo cha bodaboda, dereva hajatoka hata na jeraha ila mwanajeshi kafa... Endeleeni kujidanganya tu
Hiyo ni kweli kabisa ilitokea mkuu.. Miezi kama miwili iliyopita hapohahahahah [emoji23] [emoji31] [emoji23] [emoji23] wabongo tuna kashfa sana hahahahahhh